Burudani
Song: KCEE (Nigeria) – Hakuna Matata
Wasanii wa Nigeria wameendeea kukitumia Kiswahili kwenye nyimbo zao. Baada ya Ice Prince kuachia wimbo wake ‘Jambo’ sasa ni zamu ya KCEE na wimbo wake ‘Hakuna Matata’.
http://www.youtube.com/watch?v=b_2zO4ExpN4