HabariMichezo

Subirini maajabu kutoka kwa Messi – Bosi wa PSG awatangazia kiama

Rais wa Paris Saint-Germain, Nasser Al-Khelaifi amewataka mashabiki wa soka hasa kutoka kwenye timu hiyo kujiandaa kushuhudia mambo makubwa yatakayofanywa na mchezaji wao nyota, Lionel Messi pengine kuwahi kutokea msimu mpya wa Ligue 1 utakapoanza.

Bosi huyo anamatarajio makubwa kuona Messi anakuwa kwenye kiwango bora zaidi hasa kutokana na kuwa kwenye kipindi kigumu msimu wake wa kwanza akiwa na matajiri hao wa Paris.

Leo Juni 24, Messi anatimiza umri wa miaka 35 hukua mshindi huyo wa tuzo ya Ballon d’Or mara saba (7), akiwa amevunja rekodi mbalimbali katika mchezo wa soka.

Imeandikwa na Hamza Fumo, Instagra @fumo255

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents