Habari

TANZIA: Mwanasiasa mkongwe, Mzee Kingunge Ngombale-Mwiru amefariki dunia

Mwanasiasa mkongwe nchini Mzee Kingunge Ngombale-Mwiru amefariki dunia usiku wa kuamkia Leo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili alikokuwa anatibiwa, familia yake imeripoti.

Mzee Kingunge

Mzee Kingunge (87) alikuwa akitibiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili akiuguza majeraha ya kushambuliwa na kung’atwa na mbwa akiwa nyumbani kwake.

Katika enzi za uhai wake Mzee Kingunge alikuwa mmoja wa viongozi wa muda mrefu wenye ushawishi na waasisi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) hadi alipojiuzulu kutoka kwenye chama hicho Oktoba 2015.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents