Burudani

The Amazing haifanani kabisa na Navy Kenzo – Meneja

Meneja wa kundi la The Amazing, linaloundwa na rapper Izzo Bizness na Abela Music, amesema kundi hilo halifanani hata kidogo na Navy Kenzo – linaloundwa na Nahreel na Aika.

izzo

Boniface, amemwambia mtangazaji wa Kings FM, Prince Ramalove kuwa makundi hayo yana utofauti mkubwa kuanzia muziki wanaoufanya na mipango yao.

“The Amazing ni kundi ambalo linategemea kufanya vitu vingi haiishi tu kwenye muziki. Lakini sasa hivi tumeanza na muziki sababu ndio brand ya kwanza,” amesema meneja huyo.

Pia amedai kuwa hakuna ugomvi wowote waliyonayo na Navy Kenzo. Sikiliza interview hiyo hapo chini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents