Burudani

The Rock awachana waigizaji wenzake wa kiume wa Fast and Furious

Muigizaji wa Hollywood anayelipwa fedha nyingi zaidi kuliko wote kwa sasa, Dwayne ‘The Rock’ Johnson hajafurahishwa na baadhi ya waigizaji wa kiume wa filamu ya Fast and Furious 8.

dwayne-johnson-doc-savage-shane-black (1)

Kupitia Instagram, The Rock amewasifia waigizaji wa kike lakini akadai kuwa baadhi ya waigizaji wa kiume wamekuwa na tabia za kipuuzi wakati wa utengenezaji wa filamu hiyo kiasi cha kuifanya damu yake kuchemka kwa hasira.

Ameandika:

This is my final week of shooting #FastAndFurious8. There’s no other franchise that gets my blood boiling more than this one. An incredible hard working crew. UNIVERSAL has been great partners as well. My female co-stars are always amazing and I love ’em. My male co-stars however are a different story. Some conduct themselves as stand up men and true professionals, while others don’t. The ones that don’t are too chicken shit to do anything about it anyway. Candy asses. When you watch this movie next April and it seems like I’m not acting in some of these scenes and my blood is legit boiling – you’re right.

Bottom line is it’ll play great for the movie and fits this Hobbs character that’s embedded in my DNA extremely well. The producer in me is happy about this part????. Final week on FAST 8 and I’ll finish strong.
#IcemanCometh #F8 #ZeroToleranceForCandyAsses

Waigizaji wa kiume kwenye filamu hiyo ni pamoja na Vin Diesel, Scott Eastwood na Jason Statham huku wa kike wakiwa Charlize Theron, Jordana Brewster na Michelle Rodriguez.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents