Burudani

The Rock ndiye muigizaji wa Hollywood anayelipwa fedha nyingi zaidi

Kutoka kuwa mwanamieleka aliyekuwa na mafanikio makubwa, sasa The Rock ndiye muigizaji wa Hollywood anayelipwa fedha nyingi zaidi, kwa mujibu wa Forbes.

dwayne-johnson-the-rock-2014-billboard-650

Muigizaji huyo ambaye jina lake halisi ni Dwayne Johnson ameingiza dola milioni 64.5 mwaka huu. Johnson amepanda kutoka dola milioni 31.5 alizoingiza mwaka jana.

The Rock alikamata nafasi ya 19 kwenye orodha ya Forbes ya mastaa wanaolipwa fedha nyingi zaidi mwaka huu na kuongozwa na Taylor Swift, aliyeingiza dola milioni 170.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents