Burudani

Top5: Kolabo 5 bora za Nikki wa Pili Vs Joh Makini (+Video)

Mambo vipi,? It’s first time tunakuletea kitu kingine kipya ‘Top5’, leo tupo na rapper Nikki wa Pili kutoka kundi la Weusi akieleza zile top 5 kolabo alizofanya na Joh Makini.

Wasanii hawa wamekuwa na chemistry katika muziki wao kitendo kilichopelekea kufanya kolabo zaidi ya 10 ukijumlisha na zile za kundi. Hapa chini Nikki anaelezea kila moja.

1.              Niaje ni Vipi

Kwa sababu ndio collaboration ambayo ilinitambulisha kama ni Niki wa Pili kwenye game.

2.        Nje ya Box

Ni kolabo yangu kubwa nilifanya na Joh Makini na ilichukua mpaka tuzo ya wimbo bora wa hip hop.

3.        Higher

Kwa sababu ndio wimbo wangu wa kwanza kuwa commercial successful na ndio ilianza kunipa mashabiki kwa upande wa wasichana.

4.        Safari

Ni moja ya nyimbo zangu ambazo nilitoa siku ya ijumaa mpaka kufika jumatatu umeshahit.

5.         Bei ya Mkaa

Kwa sababu kama unazungumza kurap, ufundi na style na nini, nafikiri kweny Bei ya Mkaa mimi na Joh tulimaliza, kwa wale ambao wanajua rap nafikiri ile ni level ya juu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents