Michezo

Tottenham kuendela kuwa kosa wachezaji 5 kwenye UEFA

klabu ya Tottenham itaendelea kumkosa mshambuliaji wake Harry Kane ambaye ataendelea kuuguza jeraha lake la kifundo cha mguu wakati ambapo timu yake inakabiliana na CSKA Moscow katika kombe la vilabu bingwa Ulaya siku ya Jumanne.

premier-league-football-harry-kane_3789449
Harry Kane

danny-rose-544084
Danny Rose

3888ab2400000578-3795402-midfielder_eric_dier_was_the_second_tottenham_player_to_leave_th-a-36_1474220821792
Eric Dier

Tottenham itamkosa beki wake wa kushoto Danny Rose na kiungo wa kati Eric Dier,Mousa Dembele na Moussa Sissoko.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents