Mchambuzi wa soka chipukizi, Ally Mzuri amesema kuwa maamuzi ya Kocha wa @simbasctanzania mbrazil Robertinho kumtoa Chama kwenye mechi na Mbeya City yalikuwa sahihi na ndiyo iliyopelekea timu hiyo kubadillika uwanjani mpaka kupata idadi ya magoli mawili yaliowapa ushindi wa goli 3-2 dhidi ya Mbeya City.
Mzuri ameyasema hayo kupitia #B5Sports ya Bongo5. Kuangalia Full Video Ingia YouTube Bongo 5
Host @fumo255 and edited by @sameeer2_