Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano
Ujumbe wa Kajala kwa Harmonize, endelea kupambana nipo nyuma yako
Mpenzi wa Harmonize Kjala Masanja kupitia insta story yake aliandika ujumbe kwa mpenzi wake Harmonize kuwa, ninachokipenda kutoka kwako ni kwamba chochote unachokitaka huwa unakipambani mpaka ukipate ndio maana Nakupenda, endelea kupambani nipo nyuma yako.