Habari

Ushahidi kuhusu kesi ya Sabaya kusikilizwa leo

Mashahidi wa kesi namba 66 ya jinai ya mwaka 2021 wanatarajiwa kutoa ushahidi katika mashtaka mawili ya unyang’anyi kwa kutumia silaha, yanayomkabili aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya na wenzake watano leo.

Sabaya charged with armed robbery and economic sabotage - The Citizen
Sabaya na wenzake watano wanatarajiwa kupandishwa kizimbani kwa mara ya nne wakikabiliwa na mashtaka matano ya uhujumu uchumi, rushwa, kuongoza genge la uhalifu, utakatishaji wa fedha na unyang’anyi wa kutumia silaha.

Mbali na Ole Sabaya, washtakiwa wengine ni msaidizi wake wa karibu, Silvester Stanslaus, Enock Togolani, John Odemba, Daniel Gabriel, na Waston Mwakomange.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents