Habari

Utafiti: Kukataliwa na mpenzi wako kunaweza kuwa na madhara kwenye uhusiano wako wa baadaye

Watu hubeba mzigo mzito baada ya kukataliwa pale wanapochukulia kama ni kitu kinachowaonesha namna walivyo kama watu, watafiti wamebaini.

2FED2E4700000578-3390809-image-a-25_1452280702575

Wanasema hisia hizo hasi zinaweza kuwa mzigo kiasi cha kuweza kuharibu uhusiano wa baadaye. Huzuni ya kukataliwa inaweza kukaa kwa miaka na kusababisha matatizo, wamebaini.

Utafiti huo ulifanywa na chuo kikuu cha Stanford.

“Hali ya kuachwa na mtu uliyedhani anakupenda kisha wakabidilisha mawazo, kunaweza kuwa tishia kwa kwako na kunaweza kuwafanya watu wahoji wewe ni mtu wa aina gani,” alisema Lauren Howe, daktari wa saiokolojia kwenye chuo hicho.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents