Michezo

Uwanja ambao Mourinho aliulalamikia umefungiwa

Baada siku chache kupita kocha wa klabu ya Manchester United, Jose Mourinho kuulalamia uwanja unaomilikiwa na klabu ya Rostov ya Russia, taarifa zimeeleza kuwa uwanja huo umefungiwa.

Rostov ambao walicheza na Man United katika Europa League na kupata sare ya 1-1, Uwanja wao wa Omlip 2, umefungiwa katokana na ubovu.

Kuanzia sasa mechi hazitachezwa katika uwanja huo hadi hapo marekebisho yatakapofanyika.

Mourinho na wachezaji wa Man United walilalamika kuhusiana na ubovu wa uwanja huo ambao ulikuwa umejaa tope kupita kiasi huku nyasi zikiwa ni vipara.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents