Burudani

Vanessa Mdee atoa mchongo kwa wasichana

Msanii wa muziki Bongo, Vanessa Mdee ametoa mchongo kwa wasichana.

Muimbaji huyo wa ngoma Kisela kwa sasa ametangaza kutafuta madansa wa kike ambao anatarajia kuwatumia katika video yake mpya, wote ambao wana uwezo huo wanatakiwa kumtumia Vanessa clip zao za video kupitia mtandao wa twitter kwa ku-shatag #VeePickMe.

Soma zaidi; Picha: Lady Jaydee afanya ‘Audition’ ya kutafuta madansa

Utakumbuka February 15 mwaka huu Lady Jaydee alitangaza kutafuta madansa 10 hadi 12 wa kike na wa kiume wanaoweza kucheza vizuri style za kiafrika pamoja na za nje, hivyo Vanessa naye pia amekuja kuongeza fursa kwa vijana wenye uwezo wa kucheza.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents