Burudani

Video: 50 Cent amchana Jay Z kuhusu ‘4:44’

50 Cent ameamua kumchana Jay Z kuhusu albamu yake mpya ‘4:44’. Japo albamu hiyo imeonekana kuteka vichwa vya habari duniani pamoja na kufikisha mauzo ya Platinum ndani ya siku tano tangu imeachia lakini kwa rapper Cent albamu hiyo ni mbovu.

Kupitia mtandao wa Instagram, 50 Cent ameweka video akimchana Jay kuwa albamu hiyo ni mbaya tofauti na alivyotarajia lakini baada ya muda aliifuta video hiyo kwenye mtandao huo.

“I listened to Jay’s shit, that 4:44. I thought the shit was alright. I liked the shit, but I’m gonna keep it 100. The shit was too smart. I felt like I was supposed to be wearing glasses and tie a fuckin’ sweater around my waist. It was like Ivy League shit. That shit was like golf course music,” amesema Cent kwenye video hiyo.

https://youtu.be/uWb4lhcwMLI

“I’ma tell you the truth. Ni**as is high out here. They don’t wanna hear that shit. They just wanna have a good time. Fuck that,” ameongeza.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents