Burudani

VIDEO: Chemical natembeaga nae, Harmonize mimi ndio nimemtoa kimuziki – Mixemizer

VIDEO: Chemical natembeaga nae, Harmonize mimi ndio nimemtoa kimuziki - Mixemizer

Producer wa muziki wa kizazi kipya Tanzania Mixmizer amefunguka mwanzo mwisho kuhusiana na mahusiano yake na msanii Chemical pia kuhusu kumtoa Harmonize kimuziki na mambo yote yanayohusu sanaa kiujumla.
Producer huyo amefunguka hayo wakati anapiga stori na Bongo Five katika ofisi zake za Fleva record,pia ameeleza jinsi anavyofanya kazi na wasanii tofauti tofauti.
Licha ya kueleza hayo ameongea pia kuhusu mkataba wake na msanii Beka Fleva.
Tazama maongezi haya:-

By Ally Juma

Related Articles

One Comment

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents