Burudani

Video: Diamond akituliza ‘wenge’ ataenda mbali zaidi – Adam Mchomvu

Mtangazaji machachari wa kipindi cha XXL ya Clouds FM, Adam Mchomvu Alhamisi hii alipata nafasi katika kipindi cha The Playlist Cha Times FM na kuzungumza mengi ambayo watu hawakuyatarajia.

Adam akizungumza na LilOmmy ndani ya kipindi hicho, alidai “Diamond ni mtu ambaye amefanikiwa sana kwenye gemu ya muziki Tanzania na imemuotesha mabaya yaani yupo pale juu anaruka tu. Kwahiyo mimi namshauri ajishushe chini yupo vizuri, anafanya vizuri na akituliza wenge anaweza kuwa vizuri zaidi,”

Source: Times FM

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents