Bongo Movie

Video: Elimu ndio kikwazo kwa wasanii wa BongoMovie – Gabo

Msanii wa filamu Gabo Zigamba amefunguka kuuzungumzia mfumo unatumiwa na tasnia ya BongoMovie.

Muigizaji huyo akihojiwa na mmoja kati ya watangazaji wa shindalo la Presenter Stars Seachers ya Clouds Plus, aliulizwa kama BongoMovie inatumia mfumo gani wa uongozi kati ya mfumo wa kuku na bata.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents