HabariMichezo

VIDEO: Feisal ‘Fei Toto’ afanyiwa vipimo Hospitali ya Aga Khan

Kiungo wa Matajiri wa Jiji la Dar es Salaam @azamfc @feisal amefika Aga Khan Hospital kwaajili ya kufanyiwa vipimo vya afya kabla ya kuanza kwa msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara pamoja na michuano mingine.

Akiwa Aga Khan Fei Toto amekumbushia namna rafiki yake wa karibu @fiston alivyomtakia mafanikio kwenye timu yake mpya ya Azam FC ”Mimi mwenyewe namtakia kila lakheri kama atabaki Young Africans ama ataondoka Insha Allah”

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents