Burudani

Video: Jaguar asherehekea Pasaka na wafungwa wa gereza aliloshoot video ya ‘Kioo’

Msanii wa Kenya, Jumapili hii alisherehekea sikukuu ya Pasaka na wafungwa kwenye kwenye gereza alilolitumia kushoot video ya wimbo wake ‘Kioo’.

http://youtu.be/bqV0AXDxzyQ

J
Jaguar akifanya show kwenye gereza hilo

Jaguar anasema kwamba ameamua kuwafanyia ‘thanks giving party’ siku hiyo ya Pasaka kwa kuwashukuru kwa kile walichokifanya kwenye video ya Kioo na kuifanya ifanikiwe hadi sasa. Kupitia Twitter, Jaguar ameandika: Was great spending Easter with the inmates n wardens of industrial area remand facility. Thanks 2 them #kioo happened”

Source:Ghafla Kenya

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents