Bongo Movie

Video: Kanumba, Majuto, Riyama na Tausi walistahili tuzo za SZIFF – Steve Nyerere

Siku chache baada ya kutolewa kwa tuzo za SZIFF na mwigizaji, Steve Nyerere kuandika waraka wa kutoridhishwa na utoaji wa tuzo za SZIFF uliofanyika Mlimani City jijini Dar es salaam kwa madai kuna baadhi ya wasanii ambao walitakiwa kupewa tuzo lakini hawajapewa. Muigizaji huyo ameadai Mzee Majuto, Tausi na Riyama Ally ni wasanii ambao walitakiwa kupewa tuzo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents