Burudani

Video: Nandy na Aslay wakonga nyoyo mashabiki, harusi ya DSTV

Wasanii wa muziki Bongo wanofanya vizuri kwa sasa, Nandy na Aslay usiku wa leo wameweza kukonga nyoyo za mashabiki wao pamoja na maharusi wa usiku huo Solomon na Magreth, baada ya wawili hao kutumbuiza.

Hatua ya Nandy na Aslay kutoa burudani hiyo imekuwa baada ya wanandoa hao wawili kushinda shindano la ‘Harusi ya ndoto yangu’ iliyoandaliwa na king’amuzi cha DSTV kupitia chanel yao ya Maisha Magic Bongo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents