Michezo

Video: ‘Samatta amefunga goli gumu sana dhidi ya Bournemouth, Sababu hizi mbili zimewagharim sana Aston Villa’ – Mchambuzi Abbas Pira

Mchambuzi wa soka anayekuja kwa kasi nchini, Abbas Pira amechambua mchezo wa Aston Villa dhidi ya Bournemouth na goli la Mshambuliaji Tanzania, Mbwana Samatta. Pira amesema kuwa Samatta amefunga bao gumu sana katika mchezo hupo ambao kwake ni wa kwanza katika Premier League tangu ajiunge na Villa dirisha la mwezi Januari akitokea KRC Genk huku akida kuwa mambo mawili ndiyo yaliyoiangusha Aston Villa mbele ya Bournemouth na kupelekea kufungwa kwa jumla ya mabao 2 – 1. Mambo hayo mawili ikiwa ni sehemu ya ulinzi haikuwa nzuri akimaanisha upande wa mabeki na kuwasifia wapinzani wa Villa kikosi cha Bournemouth.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents