Burudani

Video: Tazama trailer ya reality show ya Caitlyn Jenner ‘I Am Cait’

Caitlyn Jenner, zamani aliyejulikana kama Bruce Jenner, baba wa kambo wa Kim Kardashian ambaye kwa sasa ni mwanamke, ameonesha trailer ya reality show yake iitwayo ‘I Am Cait’.

https://www.youtube.com/watch?v=sKZCcVKVHws

Kwenye show hiyo itakayoruka kupitia kituo cha runinga cha E!, Caitlyn ataonesha maisha yake mapya baada ya kujibadilisha na kuwa mwanamke.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents