Burudani

Video: Tupo tayari kumsupport Rich Mavoko lakini apambane – Babu Tale

Meneja wa Diamond Platnumz, Babu Tale amefunguka kwa kudai kwamba ameusikiliza wimbo mpya wa muimbaji Rich Mavoko ambapo amemtaka muimbaji huyo ambaye alikuwa WCB apambane zaidi ili afanye vizuri . Tale amesema anachotakiwa msanii huyo kufanya kwa sasa ni kufuata taratibu za nchi katika kufanya muziki wake.

 

Related Articles

19 Comments

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents