Habari

Video: Wayahudi weusi wa Uganda wakataliwa Israel baada ya kutaka haki ya kuhamia nchini humo

Wayahudi wa nchini Uganda wamesema bado wana imani kwamba wataishinda vita yao ya kutambuliwa na Israel licha ya uamuzi wa mahakama nchini Israel kutowatambua.

Kwa mujibu wa taarifa iliyoandaliwa na Azam TV, imedai Wayahudi hao wenye asili ya Kiganda, wanataka watambuliwe ili kupata haki ya kuhamia nchini Israel, kitu ambacho Wayahudi wa Orthodox nchini Israel, wanakipinga.

Kundi hilo la watu limedai kwamba miaka 100 iliyopita waliamua kuwa Wayahudi na kufuata tamaduni zote za wayahudi ya nchini Israel.

https://www.facebook.com/azamtvtz/videos/1122588014574105/

Related Articles

5 Comments

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents