Michezo
Video: Yanga SC yatoa kauli hatma ya kibali cha kocha Lwandamina
Klabu ya soka ya Yanga SC kupitia kwa msemaji wake, Dismas Ten amesema kuwa wameshalimaliza swala la kibali cha Kocha Mkuu wa timu hiyo, George Lwandamina na taratibu zote zimeshafuatwa hivyo mashabiki na wanachama waondoe shaka juu ya jambo hilo.
“Kuhusu swala la kibali cha Mwalimu tayari kimefanyiwa kazi na taratibu zote zimeshafuatwa ivyo mashabiki na wanachama waondoe shaka juu ya jambo hilo”-Dismas Ten