Burudani

WAKAZI amtolea uvivu Diamond na Alikiba ‘ushawishi wao hawautumii kuibadilisha BASATA’ (+video)

Msanii wa Hip Hop nchini Tanzania, Wakazi amedai kuwa ushawishi walionao Alikiba na Diamond Platnumz wangeutumia vizuri, basi Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) lisingeendelea kufungia nyimbo za wanamuziki nchini.

Wakazi amesema hayo kwenye mahojiano yake EXCLUSIVE na Bongo5, na kueleza namna wasanii hao wawili walivyojitenga katika kupigania haki zao BASATA.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents