Uncategorized

Waziri Mkuu Majaliwa alivyoibua madudu kwenye mabasi ya mwendokasi Dar (Video)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amefanya ziara ya kushtukiza Kituo cha Mwendokasi eneo la gerezani ambapo amemuhoji Meneja kuhusu idadi ya magari aliyonunua kuongezea kwenye yale yaliyonunuliwa na Serikali.

Serikali ilinunua magari 140 ambapo hadi sasa ni magari 100 yanayofanya kazi, hali inayowapa shida Wananchi wa Kimara ambao hulazimika kupitia dirishani kutokana na uchache wa magari

Aidha Waziri Mkuu amebaini mfumo wa kusoma tiketi haufanyi kazi. Mtendaji Mkuu alisema mfumo haufanyi kazi baada ya kutokea mgogoro kati ya msambazaji na aliyeununua

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents