Bongo Movie

Wema Sepetu amtaja aliyesababisha wasanii wa Endless Fame wasifanye vizuri

Malkia wa filamu na mkurugenzi wa Endless Fame, Wema Sepetu amefunguka na kueleza sababu ya wasanii wa label hiyo kutofanya vizuri.
BongoCeleb_20160618121512
Wema Sepetu (katikati) akiwa na Martin Kadinda pamoja Petit Man

Akiongea katika kipindi cha XXL cha Clouds FM Jumatatu hii, Wema amesema mfanyakazi wake Petit Man ndiye aliyosababisha hayo yote kutokea.

“Naweza kusema kuwa kwasababu muda mrefu sana nimemwachia Petit Man akifanya hiyo kazi na sidhani kama alikuwa anaitendea haki kwahiyo ‘let us another six month tusimame sisi kama sisi kwasababu ujue kwenye vitu kama hivi kumtrust mtu labda afanye hiki may be unaweza ukawa unamsapoti afanye any then mwisho wa siku hafanyi unajua kuna vitu vingine vinaingiliana vya kibinaadamu tu,” alisema Wema.

Mirror pamoja na Ally Luna miongoni mwa ya wasanii wa label hiyo.

Hata hivyo Petit Man kwasasa hayupo tena Endless Fame, yupo label ya ‘LFLG’ inayomsimamia Billnas pamoja na Nuh Mziwanda.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents