BurudaniVideos

Nikki Mbishi hajamalizana na Nay, amdiss kwenye ngoma yake ‘Kwanini Mimi’

Bifu ya Nikki Mbishi na Nay wa Mitego haijaisha. Kwenye ngoma yake mpya, rapper huyo wa Tamaduni Muzik amemchana hitmaker wa ‘Nakula Ujana.’

13562006_994307370685272_1059780409_n

“Mnaongelea Akadumba, who is Nay to me,level fupi kama kimo cha Jermaine Dupri,” anachana rapper huyo.

Akudumba ni jina la wimbo wa Nay wa Mitego. Nikki aliwahi kuachia ngoma iitwayo Neema wa Mitego na kuchochea zaidi uadui wao.

Icheck video ya ngoma hiyo hapo chini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents