Michezo

Wolves watinga ligi kuu ya Uingereza kibabe (+Picha)

Klabu ya Wolves imefanikiwa kutwaa ubingwa wa ligi (EFL  CUP) baada ya kutoka sare ya bila kufungana dhidi ya Reading FC na kufanikiwa kutinga Ligi Kuu ya Uingereza msimu ujao.

Wachezaji wa Wolves wameonekana mchana waleo siku ya Jumatatu wakizunguka kwenye mitaa mbalimbali huku wakiwa na furaha ya kutwaa ubingwa huo na kufanikiwa kupata nafasi ya kushiriki Ligi ya Uingereza.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents