Burudani

Zawadi kibao washindi BSS

Rita PaulsenFainali za mkali Bongo Star Search (BSS) zinatarajia kufanyika Machi 28 mwaka huu, ambapo mshindi wa kwanza atajinyakulia kitita cha dola za Marekani 15,000, zawadi nyingine atakazoondoka nazo ni samani zenye thamani ya sh. milioni tano, seti ya televisheni nchi 29…

Rita Paulsen

 

 

 

Fainali za mkali Bongo Star Search (BSS) zinatarajia kufanyika Machi 28 mwaka huu, ambapo mshindi wa kwanza atajinyakulia kitita cha dola za Marekani 15,000.

 

Licha ya mshindi huyo kujizolea kitita hicho, zawadi nyingine atakazoondoka nazo ni samani zenye thamani ya sh. milioni tano, seti ya televisheni nchi 29, simu ya mkononi na kozi ya mwaka mmoja ya uandishi wa habari.

 

Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam Mkurugenzi wa Kampuni ya Benchmark Production inayoandaa BSS, Rita Paulsen alisema mshindi wa pili atajinyakulia simu ya mkononi pamoja na jokofu wa tatu atapewa deki ya DVD, wa nne redio ndogo na simu ya mkononi.

 

Alisema mshindi wa tano wa mashindano hayo kila atapewa kompyuta itakayotolewa na Desktop Kompyuta Technologies na watakaoingia kumi bora kila mmoja atapewa sh. 500,000.

 

Mkurugenzi huyo alisema mashindano hayo ambayo yatafanyika Ubungo Plaza na kudhaminiwa na Kampuni ya simu za mkononi ya Tigo yatapambwa na burudani itakayoporomoshwa na kundi la Brick & Lace la Jamaika.

 

Rita alisema pia shirika la Family Health International litatoa zawadi kwa washindi wake watakaoweza kutunga nyimbo za UKIMWI, ambapo mshindi wa kwanza atapewa sh. milioni moja, wa pili sh. 600,000 na wa tatu atapewa sh. 400,000.

 

 

 

Angalia video za washiriki waliyobaki katika Bongo Star Search hapa chini:

 

 

 

{denvideo http://www.bongofive.com/kideo/videos/bss01_faisal.flv 320 240}
Feisal Ismail – BSS 01
{denvideo http://www.bongofive.com/kideo/videos/bss03_rodgers.flv}
Rogers Lucas – BSS 03
{denvideo http://www.bongofive.com/kideo/videos/bss05_maangaza.flv}
Maangaza Nyange – BSS 05
{denvideo http://www.bongofive.com/kideo/videos/bss08_joseph.flv}
Joseph Adrian – BSS 08
{denvideo http://www.bongofive.com/kideo/videos/bss11_misoji.flv}
Misoji Nkwabi – BSS 11
{denvideo http://www.bongofive.com/kideo/videos/bss13_mary.flv}
Mary Banyukwa – BSS 13
{denvideo http://www.bongofive.com/kideo/videos/bss14_yohana.flv}
Yohana Simon – BSS 14
{denvideo http://www.bongofive.com/kideo/videos/bss16_ellynema.flv}
Ellynema Mbwambo – BSS 16
{denvideo http://www.bongofive.com/kideo/videos/bss19_malfred.flv}
Malfred Mwasote – BSS 19
{denvideo http://www.bongofive.com/kideo/videos/bss20_baby.flv}
Baby Madaha- BSS 20

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents