Burudani

Kanye West na mkewe Kim Kardashian wabatizwa majina mapya na Rais Museveni wa Uganda

Rapper Kanye West na mkewe Kim Kardashian wamebatizwa majina mapya na Rais wa Uganda, Mzee Yoweri Museveni.

Kanye na mkewe wakiwa Ikulu nchini Uganda na Rais Museveni

Majina hayo ambayo wamepewa siku ya jana walipotembelea Ikulu ya nchi hiyo, ni kwamba Kanye West ataitwa Kanyesigye huku mke wake Kim akibatizwa jina la Kemigisha.

Kwa maana ya majina hayo ni kwamba Kanyesigye maana yake ni ‘NINA IMANI’ huku Kemigisha likiwa na maana ya ‘MTU ALIYEBARIKIWA NA MWENYEZI MUNGU’ .

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents