Habari

Misri:6 wahukumiwa kifo, wapo waandishi 2 wa Aljazeera

Mahakama ya nchini Misri, imetoa hukumu ya kifo kwa watu sita wakiwemo waandishi wawili wa Al Jazeera kwa kudaiwa kufanya ushushushu.

image

Sita hao akiwemo rais wa zamani, Mohammed
Morsy na wasaidizi wake walishtakiwa kwa kuvujisha siri za ikulu kwa Qatar.

Hukumu hiyo ilitolewa Jumamosi iliyopita huku ikiungwa mkono na viongozi wa kidini.

Waandishi hao walihukumiwa bila kuwepo mahakamani.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents