Tia Kitu. Pata Vituuz!

Mo Dewji aweka sawa kauli yake baada ya kutangaza kujiuzulu Simba “Mimi ni Simba damu damu, Tuko pamoja”

Mo Dewji aweka sawa kauli yake baada ya kutangaza kujiuzulu Simba "Mimi ni Simba damu damu, Tuko pamoja"

Baada ya muwekezaji wa Simba Mo Dewji kutoa kauli tata ambayo alitangaza kujiuzu kuwa mwenyekiti wa bodi ya klabu ya Simba baada ya matokeo ya Simba dhidi ya Mtibwa ambayo yalipelekea Simba kufungwa katika mchezo wa fainali kwa goli 1-0.

Mo Dewji alipost kwamba anajiuzulu Uenyekiti wa Bodi ya klabu hiyo na kubakia kuwa muwekezaji tu.

Baada ya kauli yake ya jana leo asubuhi ametoa kauli nyingine kuwa kilichotokea jana ni bahati mbaya.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW