Tia Kitu. Pata Vituuz!

Rais wa Caf, Ahmad Ahmad avutiwa na KariaKoo Derby, aomba kuwashuhudia Yanga dhidi ya Simba ‘Live’ kwa Mkapa

Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF yatangaza utaratibu maalumu wa kuingia Uwanja wa Taifa siku ya Jumapili kushuhudia mchezo wa Watani wa Jadi Yanga SC dhidi ya Yanga SC. Barabara kufungwa kwaajili ya ‘game’ ya Karia Koo Derby, wasio na mualiko rasmi marufuku kufika VIP wakati Rais wa Caf, Ahmad Ahmad akitarajiwa kuwa kwa Mkapa kuwatazama ‘Live’ Yanga wakitupa karata zao kuwakabili Simba SC.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW