Tia Kitu. Pata Vituuz!

RC Makonda ahofia ‘viashiria’ silaha za Kibaiolojia ”Pengine Mtu kakaa Maabara katengeneza hawa Nzige” (+Video)

”Sasa hivi unaweza kumshika mtu mkono kumbe ana kemikali, unaweza kutafuta dawa ya kuuwa hawa wadudu wanaomaliza mazao, lakini kumbe kuna mtu kakaa maabara katengeneza hawa nzige, wanaingia kwenye mashamba watu wanakufa na njaa.”

“…mnaweza mkashangaa mnavuta hewa humu kwenye ukumbi…hewa imechangavywa na Sumu…niwaombeni tulilinde Taifa…na kila anayepata taarifa husika ‘a-shere’ na vyombo husika kwa ajili ya mustakabali wa Taifa. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda wakati wa mkutano wa uwekezaji katika sekta ya madini.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW