Shinda na SIM Account

Serena Williams na binti yake wanaswa na Jarida la Vogue

Ikiwa ni siku moja toka jarida la Brides Magazine kumpatia dili Serena Williams, la kukava jarida hilo kwa miezi miwili mfululizo nao Vogue wametumia nafasi ya mwezi huo wa wapenda nao kumpa dili mrembo huyo la kukava jarida hilo akiwa na mtoto wake.

Katika jarida hilo Serena atazungumzia mambo kadhaa ikiwemo kuwa mama, kuingia katika ndoa na ujio wake mpya katika mchezo wa tenesi.

Mwaka 2017 mwezi Novemba mrembo huyo alifunga ndoa na C.E.O wa Reddit, Alexis Ohanian na wamebahatika kupata mtoto mmoja aitwaye Olympia Ohanian aliyezaliwa Septemba mwaka 2017.

@serenawilliams and her daughter, @olympiaohanian, star on the cover of our February issue! Tap the link in our bio for the full story, and reserve your copy on @Amazon at vogue.com/februaryissue2018. Photographed by @mariotestino, styled by @tonnegood, Vogue, February 2018.,” wameandika jarida hilo kupitia mtandao wao wa Instagram

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW