Manchester United ndio klabu ya soka yenye thamani kubwa zaidi duniani
Manchester United ndio klabu ya mpira wa mguu yenye thamani kubwa zaidi duniani baada ya kuchukua nafasi ya Bayern Munich, kwa mujibu wa kampuni ya Brand Finance.
Licha ya kutoshinda kombe lolote kwenye msimu uliopita, klabu hiyo ya Old Trafford imekadiriwa kuwa na thamani ya dola bilioni 1.2.
Barcelona, iliyoshinda kombe la mabingwa wa Ulaya Jumamosi iliyopita imeshuka nafasi mbili kutoka mwaka jana na kukamata nafasi ya sita kwa kuwa na thamani ya $773m.
Hii ndio orodha nzima (50)
Manchester United (Eng): $1206million
Bayern Munich (Ger): $933million
Real Madrid (Spa): $873million
Manchester City (Eng): $800million
Chelsea (Eng): $795million
Barcelona (Spa): $773million
Arsenal (Eng): $703million
Liverpool (Eng): $577million
Paris Saint-Germain (Fra): $541million
Tottenham Hotspur (Eng): $360million
Juventus (Ita): $350million
Borussia Dortmund (Ger): $326million
Schalke 04 (Ger): $302million
AC Milan (Ita): $244million
Everton (Eng): $228million
West Ham United (Eng): $209million
AS Monaco (Fra): $202million
Southampton (Eng): $183million
Galatasaray (Tur): $177 million
Inter Milan (Ita): $160million
Aston Villa (Eng): $155million
Newcastle United (Eng): $155million
Atletico Madrid (Spa): $151million
Napoli (Ita): $147million
Ajax (Ned): $145million
Stoke City (Eng): $140million
Swansea City (Eng): $135million
Bayer Leverkusen (Ger): $135million
Sunderland (Eng): $134million
Crystal Palace (Eng): $133million
Marseille (Fra): $129million
VFB Stuttgart (Ger): $121million
Fenerbahce (Tur): $120million
Celtic (Sco): $120million
AS Roma (Ita): $117million
VFL Wolfsburg (Ger): $116million
West Bromwich Albion (Eng): $115million
Lyon (Fra): $111million
Valencia (Spa): $107million
Benfica (Por): $103million
Hamburg (Ger): $103million
Leicester City (Eng): $102million
Sao Paulo (Bra): $95million
Werder Bremen (Ger): $88million
Borussia Monchengladbach (Ger): $86million
PSV Eindhoven (Ned): $86million
Sevilla (Spa): $81million
Corinthians (Bra): $79million
Lazio (Ita): $78million
Fiorentina (Ita): $76million
Vyanzo: www.mirror.co.uk & bbcnews.co.uk