Michezo

Federer kurejea uwanjani mapema zaidi ya matarajio yaliyokuwepo

Mcheza tenisi namba tatu kwa ubora Duniani, Roger Federer anatarajia kurejea viwanjani baada ya kufanyiwa upasuaji wa goti ikiwa ni mapema zaidi ya matarajio yaliyokuwepo, imepangwa kuwa atashiriki katika mashindano ya wazi ya Tenisi ya Miami wiki ijayo.

1a88e1ccb1a1a7cb5512bec9b287956f_crop_north.jpg

Federer mwenye miaka 35, mwezi Januari mwaka huu alishindwa kufanya vizuri katika Michuano ya wazi ya Australia katika hatua ya nusu fainali dhidi ya Novak Djokovic.

Federer alishinda taji la mashindano ya Key Biscayne mwaka 2005 na 2006, na mwisho alicheza mwaka 2014 na kufikia hatua ya robo fainali.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents