Muziki
Hizi ni nyimbo 4 mpya kutoka kwa Drake
Jumatatu hii Drake ametimiza miaka 30 ya kuzaliwa. Katika kusherehekea, rapper huyo ameachia nyimbo zake nne ikiwa ni muda mfupi baada ya kuahidi kuachia album yake mpya aliyoipa jina la ‘More Life’ mwezi Disemba, mwaka huu.
Nyimbo alizoziachia rapper huyo ni pamoja na ‘Two Birds, One Stone’, ‘Sneakin’ amemshirikisha 21 Savage, ‘Fake Love (Radio Rip)’ na ‘Wanna Know (Remix)’ amemshirikisha Dave. Sikiliza nyimbo hizo hapa chini.
Two Birds/ One Stone
Sneakin
Fake Love (Radio Rip)
Wanna Know (Remix)