Burudani

Chawa katu hauliwi kwa dole gumba – Diamond

Ni kweli ukitaka kumuuwa paka lazima ufanye kazi kwa kuwa ana ‘roho saba’? Basi inawezekana kumteketeza Diamond lazima ufanye kazi pia.

Msanii huyo amewajibu wabaya wake kupitia mtandao wa Instagram, baada ya kuonekana kuibuka mshindi katika vita ya mtoto aliyezaa na mrembo Hamisa Mobetto.

Kupitia mtandao huo ameandika:

“Chawa KATU hauliwi kwa DOLE GUMBA…… Leo kawa Baba WATATU yule walomuitaga MGUMBA….”??

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents