Habari

Rais Magufuli afanya uteuzi mwingine na kupandisha vyeo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt John Pombe Magufuli ameteua Meja Yakubu Hassan Mohamed kuwa Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ) na kuwapandisha vyeo kutoka Brigedia Jenerali na kuwa Meja Jenerali.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents