HabariUncategorized
Mgambo aliyeonekana mtandaoni akimpiga raia aliyekataa kulipa faini ya usafi akamatwa
Askari Mgambo waliompiga na kumuumiza vibaya mfanyabiashara Robson Orotho mkazi wa Bunju A anayedaiwa kutolipa faini ya usafi wanashikiliwa na Jeshi la polisi Mkoa wa Kinondoni baada ya kusambaa kwa video inayoonyesha tukio hilo.

sasa hapo linaenda jela kwa ujinga wake na masifa
nayeye apigwe2 alafu aachiwe huru
Safi