Videos
Kundi la muziki la kings music laachia video ya wimbo wao, Alikiba awakacha kwa mara nyingine – Video
Kundi la muziki la kings music laachia video ya wimbo wao, Alikiba awakacha kwa mara nyingine - Video
Wasanii wamuziki wa Bongo Fleva kutoka katika lebo ya muziki iliyo chini ya Alikiba Kings Music wameachia video ya wimbo wao mpya unaojulikana kwa jina la Rhumba ambao wameuachia huku kwenye video hiyo boss wao Alikiba hakuonekana ingawa sauti imesikika tu mwanzoni mwa wimbo huo.
Video hiyo iliyofanywa Kwetu studio iliyochini ya Khalifan na Audio ya wimbo ikifanywa na Producer Mocco Genious:-
By Ally Juma.