Habari

Aliyekuwa rais wa Sudan Omar al Bashir sasa kupelekwa mahakama ya ICC

Aliyekuwa rais wa Sudan Omar al Bashir sasa kupelekwa mahakama ya ICC

Baraza la mpito limekubali kumkabidhi rais wa zamani Omar al Bashir kwa mahakama ya kimataifa ya ICC. Omar al Bashir alikuwa akitafutwa kutokana na makosa ya uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya binaadamu.

Mwezi Desemba kiongozi huyo wa zamani aliyeondolewa madarakani kwa mapinduzi mwezi Aprili, alihukumiwa kifungo cha miaka miwili na kituo cha marekebisho ya tabia kwa makosa ya rushwa. Lakini pia ikielezwa kuwa mgogoro huo ulisababisha mauaji ya watu zaidi ya 30000.

Chanzo BBC.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents