Siasa
Wananchi wa Hai wadai walioleta vurugu kwenye mkutano wa Mbowe sio wakazi wa hapo na wao hawawafahamu – Video
Wananchi wa Hai wadai walioleta vurugu kwenye mkutano wa Mbowe sio wakazi wa hapo na wao hawawafahamu - Video
Baadhi ya wananchi katika eneo la Kikavuchini ulipofanyika mkutano wa Mbunge wa Jimbo la Hai, Freeman Mbowe wamesema kundi la vijana lililofanya vurugu katika mkutano huo si Wakazi wa eneo hilo.
#Bongo5Updates: Baadhi ya wananchi katika eneo la Kikavuchini ulipofanyika mkutano wa Mbunge wa Jimbo la Hai, Freeman Mbowe wamesema kundi la vijana lililofanya vurugu katika mkutano huo si Wakazi wa eneo hilo.
Video credit by (Cloudstv) pic.twitter.com/Ww7gCI5b3P
— bongo5.com (@bongofive) March 4, 2020
By Ally Juma.