Habari

Huu ndio muonekano mpya wa barabara ya juu Ubungo, Shuhudia magari yakipita kutoka kimara kuelekea Posta – Video

Huu ndio muonekano wa Barabara za juu (Fly Over)maeneo ya Ubungo.

Barabara hizi zinatoka KIMARA KUELEKEA POSTA na MWENGE kuelekea TABATA lakini ukiangalia utaona magari yakipita kutokea KIMARA kuelekea POSTA ndio barabara iliyokamilika na kuanza kufanya kazi lakini kwa upande wa MWENGE – TABATA bado haijaanza kufanya kazi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents