Michezo

RIPOTI KAMILI: Kesi ya Morrison, Document muhimu yakosekana (+Video)

Mwenyekiti wa Kamati ya Katiba, Sheria na Hadhi za wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Elias Mwanjala, amesema kuwa kuna ‘document’ moja imekosekana na ndiyo sababu hasa ya wao kushindwa kutoa majibu kamili hii leo lakini mpaka ifikapo kesho majira ya saa 7: 15 mchana watatoa matokeo ya kikao chao kilichochukua siku mbili na sasa inaelekea siku ya tatu. Alipoulizwa ni upande upi ambao document yake imepungua mpaka sasa Mwenyekiti huyo amesema ni pande Morrison na Yanga.

Imeandikwa na Hamza Fumo, Instagram @fumo255

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents